INTERNATIONAL birdwatching enthusiasts from South Africa and the United States have called upon the tourism authorities to accelerate strategic investments to expand birdwatching tourism. This appeal ...
Serikali ya Tanzania imetenga zaidi ya Sh. bilioni 3.5 kwa ajili ya kuboresha meli ya MV Songea inayofanya safari kati ya bandari ya Kiwira mkoani Mbeya na Mbamba Bay mkoani Ruvuma kupitia Ziwa Nyasa.
Serikali imepanga kuanza kutumia teknolojia ya kisasa kufuatilia uzalishaji na biashara ya madini ili kudhibiti utoroshaji na kuongeza mapato ya ndani. Akiwasilisha bajeti ya Wizara ya Madini kwa ...
SAKATA la mikopo inayolalamikiwa, maarufu kama ‘kausha damu’, limeendelea kuibuka bungeni huku wabunge wakihoji mikakati ya serikali wa kuzibana taasisi zinazotoa mikopo kwa riba kubwa hali ...
BABA mzazi wa nahodha wa timu ya Taifa Stars, Mbwana Samatta aliyefariki juzi, Ally Samatta Pazi, anatarajiwa kuzikwa leo Jumatatu kijijini kwao Kibiti Wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani. Kwa mujibu wa ...
MPANGO mkakati wa kusaidia wakulima wa zao la shayiri Tanzania umezinduliwa ili kuongeza uzalishaji wa zao hilo na kukidhi soko la viwanda vya ndani na biashara katika ukanda la ndani. Akizungumza ...
Waziri Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba ametoa taarifa kuhusu hali ya ukame nchini, huku akiwataka Watanzania kutunza na kutumia kwa uangalifu akiba ya chakula waliyonayo kutokana na kuchelewa kwa msimu wa ...
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, amewataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kupata huduma za msaada wa kisheria utakazoanza kutolewa kuanzia leo hadi Mei 30 mwaka huu mkoani humo. Mhita ametoa ...
Jaji Hamidu Mwanga amekataa kujitoa katika kesi ya mgawanyo wa mali dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama alivyotaka Kaimu Katibu Mkuu, John Mnyika na Bodi ya Wadhamini wa Chama ...
Mwanaume mmoja ambaye hajafahamika kwa majina wala umri amefariki dunia baada ya kuzama katika Mto Sanya, wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, akidaiwa kuteleza alipokuwa akivuka kivuko cha magogo ...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amefanya mabadiliko makubwa katika Baraza lake la Mawaziri kwa kuongeza idadi ya wizara kutoka 18 hadi 20, hatua ...