Wananchi wa Dar es Salaam wanatarajiwa kushuhudia uzinduzi wa kampeni maalum ya kitaifa ya Muungano Caravan yenye lengo la kutoa elimu kuhusu umuhimu wa Muungano wa Tanzania, kuhamasisha uzalendo, msh ...
Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Mohamed Nyundo, ameipongeza TANESCO kwa utayari wake wa kuhakikisha umeme unafika katika mradi wa ujenzi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa, unaotarajiwa kuongeza fursa za kiuchumi na ...
Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) imezindua rasmi ulipaji fidia kwa wananchi wanaopisha mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa 220kV kutoka Masasi hadi Mahumbika. Akizungumza Mei ...
Kati ya kesi 197 za makosa mbalimbali yaliyokamatwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani katika kipindi cha mwezi Machi hadi April, 130 watuhumiwa wake wametiwa hatiani na kuhukumiwa. Hukumu za vifungo zi ...
Ruto: Biashara Tanzania, Kenya yafikia Sh. trilioni 2.2 2025. Biashara. 5d ago. By Mwandishi Wetu , Nipashe. Published at 01:39 PM May 05 2026 ...
wili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), na Mbunge wa Isimani, William Lukuvi (70), umewasili nyumbani kwake jijini Dodoma kwa ajili ya ...
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, ameagiza uchunguzi wa haraka dhidi ya Kampuni ya Azhar Construction Company Limited inayodaiwa kukwepa kulipa madeni ya wafanyabiashara wa Wilaya ya Ngara ...