Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Mohamed Nyundo, ameipongeza TANESCO kwa utayari wake wa kuhakikisha umeme unafika katika mradi wa ujenzi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa, unaotarajiwa kuongeza fursa za kiuchumi na ...
Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) imezindua rasmi ulipaji fidia kwa wananchi wanaopisha mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa 220kV kutoka Masasi hadi Mahumbika. Akizungumza Mei ...
Kati ya kesi 197 za makosa mbalimbali yaliyokamatwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani katika kipindi cha mwezi Machi hadi April, 130 watuhumiwa wake wametiwa hatiani na kuhukumiwa. Hukumu za vifungo zi ...
HAWAKUKOSEA Waswahili wa zamani waliosema Umoja ni Nguvu na Utengano ni Udhaifu. Hawakukosea pia walionya kuwa ukitaka kusafiri masafa marefu kwa mafanikio, ni bora kusafiri na wenzako. Semi hizi za ...
INTERNATIONAL birdwatching enthusiasts from South Africa and the United States have called upon the tourism authorities to accelerate strategic investments to expand birdwatching tourism. This appeal ...
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, ameagiza uchunguzi wa haraka dhidi ya Kampuni ya Azhar Construction Company Limited inayodaiwa kukwepa kulipa madeni ya wafanyabiashara wa Wilaya ya Ngara ...
Serikali ya Tanzania imetenga zaidi ya Sh. bilioni 3.5 kwa ajili ya kuboresha meli ya MV Songea inayofanya safari kati ya bandari ya Kiwira mkoani Mbeya na Mbamba Bay mkoani Ruvuma kupitia Ziwa Nyasa.
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amewataka watendaji, madaktari, wauguzi, wahudumu wa afya na wakuu wa taasisi zote zilizo chini ya wizara hiyo kutoa huduma kwa haki na lugha za staha kwa wananchi.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results