Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Mohamed Nyundo, ameipongeza TANESCO kwa utayari wake wa kuhakikisha umeme unafika katika mradi wa ujenzi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa, unaotarajiwa kuongeza fursa za kiuchumi na ...
Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) imezindua rasmi ulipaji fidia kwa wananchi wanaopisha mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa 220kV kutoka Masasi hadi Mahumbika. Akizungumza Mei ...
Kati ya kesi 197 za makosa mbalimbali yaliyokamatwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani katika kipindi cha mwezi Machi hadi April, 130 watuhumiwa wake wametiwa hatiani na kuhukumiwa. Hukumu za vifungo zi ...
WAKATI dunia ikiadhimisha Siku ya Taka Sifuri kila ifikapo Machi 30, Zanzibar inakabiliwa na changamoto ya uzalishaji wa taka unaofikia tani 654 kwa siku, huku asilimia 80 ya taka hizo zikiwa za ...
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, ameagiza uchunguzi wa haraka dhidi ya Kampuni ya Azhar Construction Company Limited inayodaiwa kukwepa kulipa madeni ya wafanyabiashara wa Wilaya ya Ngara ...
Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande, amezindua rasmi Bahati Nasibu ya Taifa Tanzania, hatua kubwa kwa sekta ya michezo ya kubahatisha nchini. Uzinduzi huo umefanyika katika hafla ya kihistoria ambapo ...