Huku familia nyingi zikiachwa na kiwewe kutokana na mauaji yanayohusishwa na mila za kichawi nchini Sierra Leone, BBC Africa Eye inachunguza wale wanaofanya biashara ya viungo vya mwili wa binadamu.
Waasi na wanajeshi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameshiriki ubakaji, kuwakatakata raia viungo na kula nyama za watu, kulingana na ushahidi uliotolewa kwa watalamu wa haki za binadamu wa ...